EfG imetoa mafunzo kwa waangalizi wa masoko katika masoko 16 ya mikoa nane Nchini Tanzania. Mikoa hii imejumuisha Mbeya, Iringa, Mtwara,Lindi,Mwanza,Shinyanga, Dar es salaam pamoja na Tanga.

Wangalizi wa masoko wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza Mafuzo ya siku mbili yaliyofanyika katika ukumbi wa Lamada Hotel. tarehe 16/12/2014 - 17/12/2014.